Lyricf.com
Songs
Artists
Songs
News
Kusah Lyrics
Aga
Baby, nina kaneno niseme na wewe Tega sikio makini unielewe Kwamba wako wengi wazuri ila kwangu ni wewe My sweety, chunga usije niacha mwenyewe (hmm) ...
Nibebe lyrics
Mmmh uyee, ulalala uyee Mmmh mmmh (Mafia) Labda mbingu na dunia Vije vishikane wabadili mchana Uwe usiku wa manane Wakitaka tuachane Watupige mapanga ...
Angalau lyrics
Uyee, uyee, uyee Mmmhh Kuna muda wanakupa faraja Unadhani unalivuka daraja Wapewa sifa unanyimwa na haja ya mmmh Na kuna muda unapitia darasa Unasoma ...
Kusah - Chelewa
Uuh umeni murder Nimeishiwa na pozi mie Nmekosa mada Nabaki uh kutwa kukuwaza Tamu usijegeuka shubiri Moyo utaukwaza (aah eeh) Wewe ndo jike langu la ...
Dakika lyrics
Uzuri wa asili natural color wee Nimepagawa mimi mgonjwa Mama unipe dawa wee Leo nakupa siri, ukae ujuwe Kama wakwanza Mungu wapii Wazazi watatu ni we...
Hapana lyrics
Hata waseme nini sikuachi Ndio kwanza umepanda na chati Umenidhibiti umeshika na shati Umeshinda umevunja kamati Mwenzio umejitoa mhanga Kwenye huba l...
Hujanikomoa lyrics
Nafsi inasema subiri Moyo unakataa nenda Nimeziona dalili Ipo siku nitadema Maana kila yakidhiri Yana jirudia tena Mi mwenzio na dalili Mimi siwezi ku...
I Wish lyrics
Mmmmh ulalala Baby nitakupa moyo nitakupa roho Yaani mwili mzima Ningekupa gari ningekupa doh Ila mi ndo sina Ukinizidi sana nitakupa roho Unibebe mzi...
Kusah - Kelele
We umenikaa, umenikaa kwa roho Nafsi mpaka akili yangu We dada umenibamba mmmh mhh Ooh darling, halafu tumetokaga mbali mmh Sioni dalili ya kukuumiza ...
Mama Lao lyrics
Yeye hakutaka pesa alitaka furaha Nami nikampatia Kwa yale madeko mtoto akaja Kusah nitakusalia Unapokwenda nami nipo Nimekubali yapitishwe maandiko I...
Nakupenda [Part 1] lyrics
Ilianza kama stori Ni historia Ninapendeza kweli kweli Ni historia Mashallah amejaliwa Ana sifa zote za kusifiwa Nampenda, nampenda Wacha mimi wakinio...
Nilinde lyrics
Mmmh mmmh, oooh ooh Aiiiehh eeh eeeh (Gachi beats) Nawaza na sipati majibu Mbona haya ni majaribu Au Baba unanijaribu Maana mi sipati jawabu ila Labda...
Pole lyrics
Sina makosa, mmh wanionea bure Ati umepanga kunitoa roho Na mambo ya dinner yalimkosha akanipenda bure Ananipa mahaba nilivyo mroho Sikumchota nilimbe...
Sakata lyrics
Kamata, shika chini kapakatee Ikizingua weka chini tema mate Aya Samata, kabumbu lisakate... Aya kiti kapandisha maruhani Aya kiti anataka chumba cha ...
Sijawahi Pendwa lyrics
Penzi letu litabaki kuwa stori Sio leo mpaka kesho Utamu kama limemwagiwa asali Sio leo mpaka kesho Maneno neno tuyafanye yawe stori Sio leo mpaka kes...
Wema lyrics
Ya zamani nikikumbuka Mbona nitakonda kwa pressure Oburu nikimbuka Unasumbuliwa tumbo la njaa Na mwenzio nimechoka Sina hata jero ya soda Eti saidia k...
<<
1
Kusah
more
country:
Tanzania
Languages:
Swahili
Excellent Songs recommendation
Sultanım [Hungarian translation]
Sultanım [German translation]
Sultanım [Arabic translation]
Sultanım [Persian translation]
Sultanım [Arabic translation]
Sultanım [Kurdish [Sorani] translation]
Söz Veremem [Greek translation]
Söyle Canım [English translation]
Sultanım [Persian translation]
Sultanım [Dutch translation]
Popular Songs
Sultanım [Romanian translation]
Söz Aramam lyrics
Simsiyah [French translation]
Sultanım lyrics
Söyle Canım [Russian translation]
Söz Aramam [Arabic translation]
Sultanım [Bosnian translation]
Sultanım [Russian translation]
Söz Veremem [English translation]
Sultanım [Kurdish [Sorani] translation]
Artists
Lupe Fiasco
Mylena Jardim
Boris Gardiner
The Velvets
Laura Michelle Kelly
Mc Zaac, Anitta, Tyga
Chris Doerk
Dino Franco & Mouraí
The Impressions
Alisa Supronova
Songs
Rudimental - Never Let You Go
Autumn leaves lyrics
Gloria lyrics
Habibi lyrics
John Jacob Jingleheimer Schmidt lyrics
Max Herre - Jeder Tag zuviel
Sallaya Sallaya lyrics
Pensar em você lyrics
ای سن [La Seine] [Ey Seine] lyrics
Opening Ceremony lyrics