Jambo Bwana [French translation]
Songs
2025-01-22 13:29:26
Jambo Bwana [French translation]
Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)
- Artist:Kenyan Boys Choir