Intro lyrics
Songs
2024-12-24 21:40:32
Intro lyrics
Have you ever been in love?
Umeshawai kumpoteza umpendae
Ushawai kuchagua wakati ya ajira yako na mapenzi
Ushawai kujichukia na kujiona hufai
kwenye haya maisha kwa ajili ya mapenzi
Kumbuka hakuna ukingo mpaka mwisho wa pumzi yako
Na unaweza kuanza upya mda wowote
Kwa sababu kila mwisho wa jumapili
ni mwanzo wa jumatato
Usiogope kuanza upya
Money Mondays.
- Artist:Vanessa Mdee
- Album:Money Mondays (2018)