Samahani

Songs   2025-01-01 09:44:10

Samahani

Sexy diva, divana

Gachi B

Samahani hunijui samahani (Samahani)

Samahani sikujui samahani (Samahani)

Samahani hunijui samahani (Samahani)

Samahani sikujui samahani (Samahani)

Sasa mbona unaniongelea (Samahani)

Sasa mbona unanisogelea (Samahani)

Sasa mbona unaniomba bia (Samahani)

Sasa mbona unaniangalia (Samahani)

Samahani una bei gani? (Samahani)

Kwani naongea na nani? (Samahani)

Nimesahau ex wangu ni nani? (Samahani)

Kurudiana ilikuwaga zamani (Samahani)

Samahani sihitaji kushare (Samahani)

Samahani sitaki umbea (Samahani)

Samaha kama nawakosea (Samahani)

Hivi kweli nitaoana unawafokea (Samahani)

Nikiwa na pesa kama nawakwaza (Samahani)

Kama kudanga kwani mi wa kwanza (Samahani)

Nitakulipa vyuma vimekaza (Samahani)

Dj anzisha kwanza (Samahani)

I say don't touch me utanichafua

Brand kama hii we huwezi nununua

Nasema don't touch me utanichafua

Brand kama hii we huwezi nununua

Samahani hunijui samahani (Samahani)

Samahani sikujui samahani (Samahani)

Samahani hunijui samahani (Samahani)

Samahani sikujui samahani (Samahani)

Sasa mbona unaniongelea (Samahani)

Sasa mbona unanisogelea (Samahani)

Sasa mbona unaniomba bia (Samahani)

Sasa mbona unaniangalia (Samahani)

[Lava Lava]

Samahani usipige simu usiku

Mi nawe tulisha achana (Samahani)

Samahani usitext usibeep

Kujifanya unajua sana (Samahani)

Kumbe mpenzi wako ni yule (Samahani)

Sikujua jana nililewa (Samahani)

Alisema atanipa bure (Samahani)

Peleka moto sikuchelewa (Samahani)

Samahani Lulu nakupenda (Samahani)

Kiukweli siwezi kuficha (Samahani)

Ndio maaana ulivonipa denda (Samahani)

Video zetu nikazivujisha

Samahani!

Don't touch me utanichafua

Brand kama hii we huwezi nununua

Nasema don't touch me utanichafua

Buti kama hii we huwezi nununua

Samahani hunijui samahani (Samahani)

Samahani sikujui samahani (Samahani)

Samahani hunijui samahani (Samahani)

Samahani sikujui samahani (Samahani)

Sasa mbona unaniongelea (Samahani)

Sasa mbona unanisogelea (Samahani)

Sasa mbona unaniomba bia (Samahani)

Sasa mbona unaniangalia (Samahani)

Lulu Diva more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Lulu Diva Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs