Isweke lyrics

Songs   2025-01-01 10:07:19

Isweke lyrics

Nikwambie nini?

Nakupenda pekee halitoshi

Nimezama, wewe ndoano

Mie samaki naye karibia chambo

Kama maji yakiwa mtungini

Niseme nini?

Na uko akilini yeah eeh

Kama wanitongoza

Najiuma uma najing'ata vidole

Haiba ya upole yanijaa

Utadhani msichana

Oooh mie wako

Mfungwa gereza la mapenzi

Pingu za nini?

Na uko akilini yeah eeh

Kama wanitongoza

Najiuma uma najing'ata vidole

Haiba ya upole yanijaa

Utadhani msichana

Beiby,

Zile mambo za kufosi mapenzi

Wakati haupendwi mimi sinaga

Mimi sinaga

Mmmh Alhamdulillahi

Situmii mudende (Isweke)

Nimejaliwa jembe (Isweke)

Kuna muda nalima (Isweke)

Kuna muda navuna (IIsweke, Isweke)

Mara vumbi la kongo (Isweke)

Korosho kidogo (Isweke)

Pweza twende migo migo (Isweke)

Izo mambo sinaga (Isweke, Isweke)

Zile mambo za kulipa room

Kwa nyumba za wageni showtime sinaga

Zile mambo za huyu wa kudumu

Pembeni vidumu izo mambo sinaga

Eti kibao kata kwa Wanjala

Sare kwa Kajala hizo hanaga

Zile mambo za danga Dubai

Mume yuko Manzese wangu hanaga

Kama maji yakiwa mtungini (Nimepoa)

Niseme nini (Nimelowa)

Na uko akilini iyeee eeh

Kama wanitongoza

Najiuma uma najing'ata vidole

Haiba ya upole yanijaa

Utadhani msichana

Oooh mie wako

Mfungwa gereza la mapenzi

Pingu za nini?

Na uko akilini yeah eeh

Kama wanitongoza

Najiuma uma najing'ata vidole

Haiba ya upole yanijaa

Utadhani msichana

Beiby,

Zile mambo za kufosi mapenzi

Wakati haupendwi mimi sinaga

Mimi sinaga

Mmmh Alhamdulillahi

Situmii mudende (Isweke)

Nimejaliwa jembe (Isweke)

Kuna muda nalima (Isweke)

Kuna muda navuna (Isweke, Isweke)

Mara vumbi la kongo (Isweke)

Korosho kidogo (Isweke)

Pweza twende migo migo (Isweke)

Izo mambo sinaga (Isweke, Isweke)

Barnaba more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Barnaba Lyrics more
Barnaba Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs