Magufuli lyrics

Songs   2025-01-02 13:38:37

Magufuli lyrics

Mmmmh

I wish ningemwona Magufuli

Nipige magoti

Nimpongeze hadharani

Yaani,

Rais wa muungano ya Jamhuri

Mchapakazi hachoki

Anaye pinga nani?

Mmmh,

Ametuvusha vikwazo

Wewe nami

Ona nchi anavyoijenga

Flyover sa tunazo

Daraja kigamboni

Airport imesha jengwa

Acha nikupongeze

Kwa Air Tanzania (Ielewe)

Zidi baba tuongeze

Airbus Bombardier (Ielewe)

Standard gauge tuteleze

Kusafiri unasinzia (Ielewe)

Acheni tu niwaeleze

Magufuli papa nia (Ielewe)

Oooh daddy Magufuli

Cheza nikuone (Kwangwaru)

Wasopenda wabane choo (Kwangwaru)

Magumu acheni (Kwangwaru)

Oooh daddy Magufuli

Asa Cheza nikuone (Kwangwaru)

Jembe toka chato (Kwangwaru)

Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru)

Aga, mpole mtu wa dini

Hajachoka tunashukuru

Amesamehe mara sabini

Papi Kocha sa yuko huru

Wa-Tanzania tupewe nini?

Vilokufa yeye kavifufua

Karudisha nidhamu serekalini

Ukileta njanja anatumbua

EEh! Sekta ya madini

Umeme maji kero zimepungua (Asa wee)

Elimu bure vijijini

Watoto shule wanabukua (Asa wee)

Ifikapo elfu mbili na ishirini

Kura yangu chukua (Asa wee)

Asa tufiche ya nini

'Magu' uongozi anaujua (Asa wee)

Dar es Salaam mwendo kasi

Vituo vya afya kila kata (Ielewe)

Machinga tunachapa kazi

Tena huru bila shaka (Ielewe)

Borigi utani ameongeza

Uchumi uweze panda (Ielewe)

Serekali Dodoma inapendeza

Tanzania ya viwanda (Ielewe)

Oooh daddy Magufuli

Cheza nikuone (Kwangwaru)

Wasopenda wabane choo (Kwangwaru)

Magumu acheni (Kwangwaru)

Oooh daddy Magufuli

Asa Cheza nikuone (Kwangwaru)

Jembe toka chato (Kwangwaru)

Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru)

Asa wote wa-Tanzania

Tusimame imara (imara imara)

Yaani wote Tanzania

Imara, Tanzania tusonge mbele

John Pombe Magufuli

Simama imara (Imara imara)

Yaani wote tusonge mbele

Imara, Tanzania tusonge mbele

Oooh mama Samia Suru

Basi simama imara (Imara imara)

Kwa pamoja tusonge mbele

Imara, Tanzania tusonge mbele

Baba Kassim Majaliwa

Simama imara (imara imara)

Kwa pamoja tusonge mbele

Imara, Tanzania tusonge mbele

Wasafi Records

Harmonize more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:R&B/Soul
  • Official site:
  • Wiki:
Harmonize Lyrics more
Harmonize Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs