A partir de hoy [Swahili translation]

Songs   2024-12-23 22:18:06

A partir de hoy [Swahili translation]

Kuanzia leo

mtazamo wako ni muonekano wangu

Muonekano wa ndoto zangu

Pale ninapoota jinsi busu linavyogeuka kuwa ‘ninakupenda’

Sauti yako iko sema ninakupenda

Kuanzia leo

Umebadilisha hisia zangu

Nahisi kuwa kila saa ninapokua na wewe

Muda unapotea kabisa mpenzi

Tunababaki tu mimi na wewe

Hakuna kingine kinachohitajika

Zaidi ya kuwa pamoja na wewe

Kwa kuwa ninalo penzi unalonipa

Kwa kuwa wewe umepata vyote nilivyonavyo

Kuanzia leo ninakupa moyo wangu

Siri zangu, hatma yangu na ndoto zangu

Kila sehemu, kila pande

Nyakati zangu njema na mbaya

Kuanzia leo nakwambia kuwa nakupenda

Kuwa siwezi kuwa bila wewe kwa sababu nitakumiss

Mapenzi yangu na kila kitu changu ni chako kuanzia leo

Kuanzia leo

Mapigo yangu ya moyo yanaendana na wewe

Unakimbia kwa kasi kwenye hisia zangu

Ni kwamba nikiwa na wewe

Hamna mtu mwingine anaeonekana

Tunababaki tu mimi na wewe

Hakuna kingine kinachohitajika

Zaidi ya kuwa pamoja na wewe

Kwa kuwa ninalo penzi unalonipa

Kwa kuwa wewe umepata vyote nilivyonavyo

Kuanzia leo ninakupa moyo wangu

Siri zangu, hatma yangu na ndoto zangu

Kila sehemu, kila pande

Nyakati zangu njema na mbaya

Kuanzia leo nakwambia kuwa nakupenda

Kuwa siwezi kuwa bila wewe kwa sababu nitakumiss

Mapenzi yangu na kila kitu changu ni chako kuanzia leo

Maisha yametengeneza wenza waliokamilika

Tunapendana na makosa yetu, pamoja na mema yetu, na woga tulionao

Tunapendana licha ya mapungufu yetu

Kuanzia leo ninakupa moyo wangu

Siri zangu, hatma yangu na ndoto zangu

Kila sehemu, kila pande

Nyakati zangu njema na mbaya

Kuanzia leo nakwambia kuwa nakupenda

Kuwa siwezi kuwa bila wewe kwa sababu nitakumiss

Mapenzi yangu na kila kitu changu ni chako kuanzia leo

Maite Perroni more
  • country:Mexico
  • Languages:Spanish, Portuguese, Italian
  • Genre:Latino, Pop
  • Official site:https://www.facebook.com/MaitePerroniPaginaOficial/
  • Wiki:http://es.wikipedia.org/wiki/Maite_Perroni
Maite Perroni Lyrics more
Maite Perroni Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs