Baba wa mbinguni nyosha mkono wako lyrics
Songs
2025-01-09 02:40:57
Baba wa mbinguni nyosha mkono wako lyrics
Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako
Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako
Tunakuinua
Baba wa mayatima nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako
Tunanyenyekea
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako
Tunakuhitaji
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako
Ni wewe twakuinua
Tunakuheshimu
- Artist:Swahili Worship Songs