Bado lyrics

Songs   2024-07-03 21:03:29

Bado lyrics

Eeh niaje Deno

Vipi Bahati tena?

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza sipo niambie bado

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

Nikumbushe bado, niambie bado

Nikumbushe bado, mwanao bado

Nimesoma degree na kazi bado (Bado)

Mke wangu anadanga umasikini chanzo (Bado)

Vibarua Eastleigh na kazi bado (Bado)

Nyuma nayo ya kupanga elimu zero (Bado)

Mama analia cancer matibabu bado

Heri yule tajiri atatibiwa Ng'ambo

Baba lini machozi yatafika mwisho

Fanya hima ushuke tumefika mwisho

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza sipo niambie bado

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

Nikumbushe bado, niambie bado

Nikumbushe bado, mwanao bado

Mwanao nimemiss kucheka

Vile vifunny funny vya wenzangu

Natamani hata kuona

Nijue sura ya mke wangu

Pia mwezi na nyota nione

Nikichunguza na kuvutia

Alafu isitoshe

Shida zimeniandama aaah

Kodi sijalipa (Bado)

Jirani anachoma nyama aah

Angalau hata mboga (Bado)

Si ati kwamba nasahau

Unaniwaziaga mema (Bado)

Ila mwisho nimefika

Lakini nakutazamia (Bado)

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza sipo niambie bado

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

Nikumbushe bado, niambie bado

Nikumbushe bado, mwanao bado

Mwanao nimemiss kucheka

Vile vifunny funny vya wenzangu

Natamani hata kuona

Nijue sura ya mke wangu

Mwanao nimemiss kucheka

Vile vifunny funny vya wenzangu

Natamani hata kupata baraka

Nifanane na wenzangu

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza sipo niambie bado

Kuna wakati nafika mwisho niambie bado

Kuna wakati nawaza kifo niambie bado

Nikumbushe bado, niambie bado

Nikumbushe bado, mwanao bado

Bahati more
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Bahati Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs