Blessed Assurance [Swahili translation]
Songs
2025-01-05 16:28:26
Blessed Assurance [Swahili translation]
Ndiyo dhamana, Yesu wangu; Hunipa furaha za Mbingu;
Mrithi wa Wokovu wake nimezawa kwa Roho yake
Habari njema, raha yangu
Yesu ndiye Mwokozi wangu,
Habari njema, raha yangu
Yesu ndiye Mwokozi wangu
Kumsalimu moyo wangu, mara namwaona raha yangu;
Aniletea malaika, wananilinda, toakoka
Sina kinyume; nashukuru, mchana kutwa huja kwangu;
Usiku kucha kuna nuru; Mwokozi wangu; ndimi huru.
Hali ni mali, anitwaa! Mara namwona anifaa,
Nami nangoja kwa subira; akiniita, nije mara.
- Artist:Fanny Crosby
- Album:Blessed Assurance