Give It To Me lyrics

Songs   2024-07-05 01:07:07

Give It To Me lyrics

Zile Gucci fendi, mimi sina-aga,

Ku-have fan na my friend kula baga

Kutoka mpaka weekend

Bila hela hamna-ga,

Mtu wa mambo mengi sipendi

Akiona madada,

Heri uniminye kimya kimya

mimi cheza pita na dina sina

Wali bei nije china mimi sina-ga

Hizo ni za akina Lina

Give to me, give to me

(Labda unionjeshe)

Give to me (nipe na tena)

Give to me (nikopeshe)

Give to me (nimpe zaidi ya jana)

Give to me, give to me, give to me

Nipime nione temperature

Kama elimu ni lecture,

Huwezi kushindwa na necta

baby shuka mpaka ikweta

Sex Diva (ah.. aah)

Diva Diva. unanimaliza,

Kwa shoot na dana dana

Mchezo wa kamari mapenzi

Usinicheze (eeehee),

Usiyadanganye mapenzi kisa pete

Heri uniminye kimya kimya

Mimi cheza pita na dina sina,

Wali bei nije china mi sina-ga

Hizo ni za akina Lina

Give to me, give to me

(Labda unionjeshe)

Give to me (nipe na tena)

Give to me (nikopeshe)

Give to me (nimpe zaidi ya jana)

Give to me, give to me, give to me

Tamutamutamu, Tamutamutamu

Niongeze tena

Tena (tenaa)

Nipe na tena (tenaa) Tena

Kachiri saga nyie (aha)

Acha nipaliwee (aha),

Nishajipanga mie (aha)

Kuti ni kalie (aha)

Heri uniminye kimya kimya,

Mimi cheza pita na dina sina,

Wali bei nije china mimi sina-ga

Hizo ni za akina Lina

Sex Diva (ah ah), Diva Diva

Unanimaliza

Kwa shoot na dana dana,

Give to me, give to me

(Labda unionjeshe),

Give to me (nipe na tena)

Give to me (nikopeshe)

Give to me (nimpe zaidi ya jana)

Give to me, give to me, give to me

Lulu Diva more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Lulu Diva Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs