Hakuna Kulala lyrics

  2024-06-30 11:49:43

Hakuna Kulala lyrics

(Black)

Lala lala lalaah

Lala lala lalah

Mmhhh, mmhhh!

Namvuta faraghani

Tumo tumo tumo ndani

Namtazama simwishi

Namkanda mambavuni

Kayainua majeshi

Vita nichague mimi

Aanze Bangladeshi

Amalizie Sudani

Lala lala lalaah

Oooh, oh oooh!

Lala

Twanozana hatosheki

Kaniweka kifuani

Hatingishiki haruki

Yuu hoi wa taabani

Nampa na vya kurithi

Na mizungu ya kigeni

Hakuna kulala, hakuna kulala

Hakuna kulala, asubuhi itukute

Hakuna kulala, hakuna kulala

Hakuna kulala, na machweo yatukute

Mmmmhh!

Siwezi kuficha hisia

Maradhi yataniumbua

Mizimu ilinalonijua

Kanila kanimalizia

Mbora katimiliki

Kwa pasi za resiresi

Hapitagi njia fupi

Shortcut ye za nini

Nampa na vya kurithi

Na mizungu ya kigeni

Hakuna kulala (eeh eh), hakuna kulala (lala lah)

Hakuna kulala, asubuhi itukute

Hakuna kulala (mi nawe), hakuna kulala (mmh mh)

Hakuna kulala, na machweo yatukute

(Iyo Lizer)

(Wasafi)

Laaadha yaaako, ladha yako

Ladha yako ni tam ni tam ni tam sana

  • Artist:Zuchu
  • Album:I Am Zuchu (2020)
Zuchu more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:https://www.instagram.com/officialzuchu/
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Zuchu?wprov=sfti1
Zuchu Lyrics more
Zuchu Featuring Lyrics more
Excellent recommendation
Popular