Hunijui lyrics

Songs   2025-01-02 14:03:55

Hunijui lyrics

Bin Laden

Wanene!

Myenye macho haambiwi tazama askari

We kipusa nipitie mbali

Ya musa mpe musa hayamuhusu kaisari

Kila mchezo kwangu fainali

Magumu huyapitie peke yako

Hakuna ambaye hajatoka mbali

So usiniletee pressure na kweli

Mipango bila pesa ni kelele

Mwana sesere ongeza kunitukana

Maana unamuhukumu kifo mtu aliyetaka kujiua ikashindikana

Nishasema mama binadamu wabaya

Haisia anaweza ziba mdomo na akajifanya hasikii

Ndolo vile tunaishi nao

Mikunjo ndo nembo yao

Na lengo kupiga bao

Anhaa vizuri havitaki pupa vinataka simpoo

So leo kesho kuanguka mi bado nipo

Napata ninachotafuta nakosaje diko

Nimwendo wa kuvunja fupa maana meno iko oooo

Wacha maneno goroka

Usifanye wanijua ebu acha kuropoka, heey

Eti kabla sijatoka

Unasema unanijua hapo ndipo napochoka

So me na say heya, heya, heya

Ngoma yaja... heya, heya, heya

Wasiojua duniani njia mbele kuja na kusepa

Ndo maana n'kilia dakika mbili tu nacheka

Najizimia ndio maana namelemeta

Japo bia ndo zinanimalizia sana paper

Ila Mungu ndo aliyeniweka na ndio atayenitoa

Kwa hiyo sitaki ma pressure kunitia doa

Nachotaka pesa tu nikae poa

Nadhani nimesommeka and no more

Najua na shida zangu na kila mtu ana zake

Kwa iyo simwelezi mambo yangu

Mtu aloshindwa na mambo yake

Hatua zangu zinafanya nipate

Kwa hiyo mambo yangu yote

Vizuri havitaki pupa vinataka simbo

So leo kesho kuanguka kesho bado nipo

Napata nacho tafuta nakosaje diko

Ni mwendo wa kuvunja fupa maana meno iko

Wacha maneno goroka

Usifanye wanijua ebu acha kuropoka, heey

Eti kabla sijatoka

Unasema unanijua hapo ndipo napochoka

So me na say heya, heya, heya

Ngoma yaja... heya, heya, heya

Vizuri havitaki pupa vinataka simbo

So leo kesho kuanguka kesho bado nipo

Napata nacho tafuta nakosaje diko

Ni mwendo wa kuvunja fupa maana...

Young Killer Msodoki more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Young Killer Msodoki Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs