Imara
Songs
2024-12-25 09:39:13
Imara
Maadili amenipa mama
_ran'gize tutaona fandana, ei!
Uzuri macho yangu yakuonyeshe mbali
Na ukarimu wangu ni zaidi ya jabari
Napepea, tausi wengi najionea
Juu na kweya, furaha yangu inarejea
Melody zangu dawa
Midundo yangu raha
Shahiri langu sala
Mwanamke imara wa Afrika
A-e-ii-o-u, ni tamu silabu
Chai ya karafu, vitafu na kichugu
Wendo wa maringo, nyumba ni lidimo
Hivyo ndivyo nilivyo, jibu hilo hilo
Napepea, tausi wengi najionea
Juu na kweya, furaha yangu inarejea
Melody zangu dawa
Midundo yangu raha
Shahiri zangu sala
Mwanamke imara wa Afrika
- Artist:Frederic Gassita