Kengele za Juu [Silent Night, Holy Night] lyrics
Songs
2025-01-10 08:18:20
Kengele za Juu [Silent Night, Holy Night] lyrics
Zanena, Sikukuu
Kengele, za Juu
Waumini furahini
Mukombozi mkumbusheni
Mzawa leo Betlehem
Mzawa leo Betlehem.
- Artist:Swahili Worship Songs