Kitete lyrics

Songs   2024-07-06 13:49:31

Kitete lyrics

Zile fitina fitina maneno, sitaki kusikia

Wala lawama zawale vikwazo, mbali nitatupia

Mh! Kwani nini kosa langu minawaza siambui

Tamu imegeuka chungu ghafla umekuwa chui ie he! heee

Ninashindwa kula hata kulala mawazo

Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo

Ninashindwa kula hata kulala mawazo

Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo

Kitete kitete

Nitawezaje pekeangu

Kitete kitete

Umeivuruga akili yangu

Kitete kitete

Nitawezaje pekeangu

Kitete kitete

Umeivuruga akili yangu

Mmh! Ah!

Mjini vishawishi vingi baby chunga tamaaa

Shetani ibirisi shilingi fupisha macho kuona

Nakama nimekosa baby basi tuwekane sawa (uuh)

Makosa kaumbiwa binadam siwezi kuwa sawa ooh ! heee !

Wasiokupenda shoga zako hivo chunga siri usiwaambie wenzio

Ya ndani ku amwaga madhaifu yangu nitunzie mwenzio oooh

Ninashindwa kula hata kulala mawazo

Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo

Ninashindwa kula hata kulala mawazo

Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo

Kitete kitete

Nitawezaje pekeangu

Kitete kitete

Umeivuruga akili yangu

Kitete kitete

Nitawezaje pekeangu

Kitete kitete

Umeivuruga akili yangu

(Mawazo!)

Usiku silali nakesha unanitesa hisia zangu (mawazo)

Kibaya zaidi nashindwa kujua nini kosa langu -mawazo oh)

Lala lalililaa lololooooo… Mmmmmmh

Lomodo more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Lomodo Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs