Kwa Ngwaru lyrics

Songs   2024-12-24 12:19:12

Kwa Ngwaru lyrics

Iyoo Lizer

[Harmonize:]

Hhmm, I wish ninge kuwaga na mavumba

Mkwanja manoti

Nikuhonge vya thamani

Ama!

Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba

Masanja Joti

Usiwe mbali nami, hmmmm

My darling, I need you love oh

Uwe nami, haki ya Mungu nakupenda

Nobody can show your love oh

Usiwaamini, ukisha wapa wanakwenda

Oh, basi jilegeze

Nikubebe mgongoni (iyelewi)

Deka nikudekeze

Nikutunze kama mboni (iyelewi)

Wakija uwapoteze

Jifanye kama huwaoni (iyelewi)

Kisha uniongeze

Ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)

Ooh baby...

Asa dance nikuone (kwa ngwaru)

Wa bami jo (kwa ngwaru)

Ololu Femi (kwa ngwaru)

Oooh baby...

Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)

Wa bami jo (kwa ngwaru)

Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

[Diamond Platnumz:]

Ah-ha! Moyo wangu wa muarobaini

Mchungu ukiuziwa

Samehe mara sabini

Huo uzungu sija jaaliwa

Ungependa juu ama chini

Kwenye uvungu uparemiwa

Nikumbatie baridini

Kwenye tundu kama njiwa

Moyo wangu mie wa makuti usinijie na kiberiti

(Hasa wee !)

Penzi likageuka chuki nyumba ikawa kibiti

(Hasa wee!)

Nipatie vya kitandani nipe mpaka kwenye kiti

(Hasa wee!)

Ila asiniingie shetani nawe nikaja kukucheati

Oh, basi jilegeze

Nikubebe mgongoni (iyelewi)

Kitandani nikoleze

Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)

Kisha nibembeleze

Nirudishe utotoni (iyelewi)

Weka mate niteleze

Kama nyoka pangoni (iyelewi)

Ooh baby...

Asa dance kidogo (kwa ngwaru)

Oh wabanwe choo (kwa ngwaru)

Ololu Femi (kwa ngwaru)

Oooh baby...

Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)

Wa bami jo (kwa ngwaru)

Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

[Diamond Platnumz:]

Ah-ha!

Unataka kucheza chura na ingali umesimama (ai inama inama)

Asa waoneshe (ai inama inama)

Unachezaje (ai inama inama)

Unataka maji ya kisima na mwoga wa kuchutama (ai inama inama)

Ebu waoneshe (ai inama inama)

Unachotaje (ai inama inama)

[Harmonize:]

Unataka kupiga deki wima umesimama (ai inama inama)

Ebu tuoneshe (aah, inama inama)

Unapiga je (ai inama inama)

Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana (ai inama inama)

Ebu tuonyeshe (ai inama inama)

Unalenga je (ai inama inama)

(Wasafi Record)

[Diamond Platnumz:]

Oya, wanangu wa kigogo (ai inama)

Nipe za Mose Iyobo (ai inama)

Vunja vunja kidogo (ai inama)

Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)

Harmonize more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:R&B/Soul
  • Official site:
  • Wiki:
Harmonize Lyrics more
Harmonize Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs