Looking For You lyrics

Songs   2024-06-28 10:38:51

Looking For You lyrics

Bora nikose pesa mali

Nyumba gari niwe nawe

Nifanye kazi bila salary

Yote heri niwe nawe

Ninavyotaka niwe nawe

hawapendi tuwe nieleweee

Ninavyotaka niwe nawe

I wish ujue iiih

Kama vipi sema mamy nini nikufanyie

Unipende nikupende milele uwe na mie

Kama vipi sema mamy nini nikufanyie

Unipende nikupende milele uwe na mie

I'm Looking for you, oh oh oh oh

Looking for you, oh oh oh oh

Ndoto yangu ipo siku

Nitakuwa nawe

Na nina imani nitaweza

Nitashinda penzi lako

Ntampenda nani kama sio wewe

Ntamtaka nani kama sio wewe

Ntampenda nani kama sio wewe

Ntamtaka nani kama sio wewe

Kama vipi sema mamy nini nikufanyie

Unipende nikupende milele uwe na mie

Kama vipi sema mamy nini nikufanyie

Unipende nikupende milele uwe na mie

I'm Looking for you, oh oh oh oh

Looking for you, oh oh oh oh

[Joh Makini]

Ni aina gani ya Juu juu is this

Macho juu juu, sSina ubishi

Roho Juu, mikono juujuu

Nimesalimu amri

Nakuhakikishia tafsiri

Ya maneno kwa vitendo

Hakuna maneno nimekwiva nipe kitengo

Niache kushika tama

Nisimame nikushike salama

Nisikupige mtama

Nisikuvute ka kuku kwa mtama

Yote sifa kwa maulana

Umbaji huu sioni kasoro bwana

Kupendana ni kulindana

Kwa kila kesi niifanye dhamana dhamana

Akana na kaile kona

Utafana nami naona

Utafanya nami nitapona

Upofu wa mapenzi nitaona

Nakuona na raha na bonus, bonus

Itika basi nitulie nafsi bonus

I'm Looking for you, oh oh oh oh

Looking for you, oh oh oh oh

Jux more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:https://www.facebook.com/africanboyJUX/
  • Wiki:
Jux Lyrics more
Jux Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs