Mbeleko lyrics

Songs   2024-07-07 06:01:12

Mbeleko lyrics

Wasafi!

Alisemanga dunia ina mapambo yake

Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake

Nimezunguka aah nimefika kwake

Siwezificha nimeshanasa kwa pendo lake

Halabaani

Kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole

Ata mama

Kakusifu sana kitofauti na wale

Wajane

Kule nilizama tafadhali niokoe mamama

Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only

Sitopenda uende mbali one day

We ndo my queen baby my only

Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako

Jiachie tu nikubebebe

Naficha mbeleko kwa ajili yako

Jiachie tu nikubebebe

We kama mtoto mii nakubembeleza

Jiachie tu nikubebe

Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza

Jiachie tu nikubebe eeh mmm

Umenivuta kwa ulembo

Mpaka matendo umenikamata

Kisura shepu sio tembo

Taweka nembo watoto kupata

Koleza motoo tupike tembele

Kisamvu cha nazi njegele

Sisi kutishe kelele sikwachiii

Linda nashamba wasije ngedele

Kuku niitee kwa muchelee

Mii sipigani na wewe manatiii

Ndio manaa kwako nimezamaa

Sitaki mii wanitowee mama maa

Unipulize nipoee

We ndo my queen baby my only

Sitopenda uende mbali one day

We ndo my queen baby my only

Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako

Jiachie tu nikubebebe

Naficha mbeleko kwa ajili yako

Jiachie tu nikubebebe

We kama mtoto mii nakubembeleza

Jiachie tu nikubebe eee

Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza

Jiachie tu nikubebe eee

Naficha mbeleko kwa ajili yako

Jiachie tu nikubebe

Naficha mbeleko kwa ajili yako

Jiachie tu nikubebe

We kama mtoto mii nakubembeleza

Jiachie tu nikubebe eee

Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza

Jiachie tu nikube

Jiachie tu nikubebe

Jiachie tu nikubebe

We kama mtoto mii nakubembeleza

Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza

(Ayo Laizer)

Rayvanny more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English, English (Nigerian Pidgin), Other, Portuguese
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Rayvanny
Rayvanny Lyrics more
Rayvanny Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs