Mshumaa lyrics

Songs   2024-05-19 23:26:49

Mshumaa lyrics

Ule ugonjwa ulioniacha nao

Bado sijapona

Hata mapenzi ulioniacha nayo

Yamebaki jina

Hospitali oooh

Za dunia nzima

Nimezunguka kote

Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina (Sina ooh)

Pressure sina (Sina eeh)

Ugonjwa sina (Sina)

Jina lako ninalo

Uwepo wako

Ndo ulikuwa wangu uzima

Naona giza

Giza totoro aai

Alioo iyooo...

Nakumiss...

Tena! Tutonana

Tena! Hata Mungu akipanga leo

Tena! Nikufe kesho

Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba

Tena! Waniweke kwa mchanga

Tena! Nikufe kesho

Tena! Ali oooh

Labda nikukumbushe

Nilipokuvisha pete

Ulisema machache

Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina (Sina ooh)

Pressure sina (Sina eeh)

Ugonjwa sina (Sina)

Jina lako ninalo

Uwepo wako

Ndo ulikuwa wangu uzima

Mi naona giza

Giza totoro aai

Alioo iyooo...

Nakumiss...iye iye

Tena! Tutonana

Tena! Hata Mungu akipanga leo

Tena! Nikufe kesho

Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba

Tena! Waniweke kwa mchanga

Tena! Nikufe kesho

Tena! Ali oooh

Ali Kiba more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Pop-Folk
  • Official site:http://www.IamAlikiba.com
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Ali_Kiba
Ali Kiba Lyrics more
Ali Kiba Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs