Nimekuzoea lyrics

Songs   2024-07-02 11:47:54

Nimekuzoea lyrics

(Kimambo on the beats)

Aiyayayaya aiyayayaya

Aiyayayaya aiyayayaya

Niko tuli baby

Kama maji kwa mtungi

Nyonga buli baby

Nivute niiishi nibaki kishungi

Aii zuri baby

Nibandike nigande ka gundi

Maakuli baby

Nilishe nishibe kitumbo ndindi

Unanikoleza, unanichombeza

Unanilegeza ai wee

Ukianzaga ndani unayaweza kitandani

Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee

Nakupenda, nakuwaza

Bora my oh, my boo boo

We nipende nikupende we

Nimekuzoea, nimekuzoea

Nime nime nime nimekuzoea

Nimekuzoea, nimekuzoea

Nime nime nime nimekuzoea

(Aiyayayaya aiyayayaya)

Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea

Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena

Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea

Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena

Nipo katikati nazungukwa na upendo

Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo

Wanafikaga wapi? Peku bila sendoff

Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo

Nakupenda, nakuwaza

Bora my oh, my boo boo

We nipende nikupende we

Nimekuzoea, nimekuzoea

Nime nime nime nimekuzoea

Nimekuzoea, nimekuzoea

Nime nime nime nimekuzoea

Nandy more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:
  • Wiki:
Nandy Lyrics more
Nandy Featuring Lyrics more
Nandy Also Performed Pyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs