Nisamehe lyrics

  2024-06-30 11:46:32

Nisamehe lyrics

Iyo Lizer!

Kukuhini kusiokwisha kumeangukia pemani

Roho yanidadarika, kashantoka shetwani

Nimeumbiwa makosa, mwanadamu na mimi

Moyo umekunja ndita, nikumiss jamani

Ngumu safari nlifanya njiani ushukie eeh eh!

Ukakosa seat mmiliki gari lako mwenyewe eh!

Nikajiveka mashati nikajiona mi ndo mie eeh eh!

Kweli mbaya halisi na wema hakosi eeeh eh!

Nisamehe, nisamehe

Nisamehe, nisamehe

Eeeh!

Chozi dibwidibwi

Nachanganyikiwa na vilio sishikiki

Niko magharibi lizamapo juu

Wewe upo mashariki

Zawadi vipochi, vijuisi vipipi

Nazimiss chocolate

Nimekoma dear nilivyonyongea

Huba zako sizipati

Tabibu

Kunikomesha umepata toto la Kitanga

Sababu

Umeichoka jeuri yangu ya Kipemba

Lile gubu

Limeniisha kabisa baby hali nanga

Aibu

Wananicheka wajinga rudi nakuomba

Ngumu safari nlifanya njiani ushukie eeh eh!

Ukakosa seat mmiliki gari lako mwenyewe eh!

Nikajiveka mashati nikajiona mi ndo mie eeh eh!

Kweli mbaya halisi na wema hakosi eeeh eh!

Nisamehe, nisamehe

Nisamehe, nisamehe

Eeeh!

Nikikaa nawaza nimwingie kwa style gani?

Nimlilie niseme nna mimba, kasahau t-shirt nyumbani

Nashindwa kujizuia, uvumilivu unanishinda kwanini?

Nikimpigia kusudi zake, na akipokea 'eti haloo, wewe nani'?

Iiiiiih iiih! Na namba kakupa nani?

Iiiiiih iiih! Mara oooh kumbe wewe unafanya issue gani?

Siku hizi iih, mi msanii anajua ina maana hanioni?

Kwenye TV iiih...

Aah, aih wewe

Aah, aih wewe

(Wasafi!)

  • Artist:Zuchu
  • Album:I Am Zuchu (2020)
Zuchu more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:https://www.instagram.com/officialzuchu/
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Zuchu?wprov=sfti1
Zuchu Lyrics more
Zuchu Featuring Lyrics more
Excellent recommendation
Popular