Shout to the Lord [Swahili translation]
Songs
2025-01-11 11:40:26
Shout to the Lord [Swahili translation]
Ee Yesu, Mwokozi,
uu Bwana wewe pekee.
Siku zote
nitasifu,
ajabu ya mapenzi yako.
Hema langu na faraja,
kimbilio la nguvu.
Pumzi yangu na vyote viangu,
vikwabudu milele.
Shangwe kwa Bwana dunia yote,
Enzi na sifa kwake Mfalme
Nchi bahari viinamie
Sauti yako kuu
Sifa kwa kazi ya mkono wako
Nitakupenda milele Bwana
Ahadi zako hazilinganishwi, Kamwe.
- Artist:Hillsong United
- Album:Shout To The Lord