Shulala lyrics
Shulala lyrics
Wasafi!
Ayo Lizer
Mr. Romantic, ah
Omo lo pe o
Kwanza upendo Baraka
Nikuchunge nitajisumbua
We jichunge tu mwenyewe, mmh!
Nasikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea
Ila bado nipo nawe, mmh!
Ata waniite zoba waseme umeniroga
Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila, she is my number moja, wengine watangoja
Ah! niongezee mapenzi, niizidi kolea
Pale ninapokuona (Shulalala Shula)
Yarabi moyo (Shulalala Shulaa)
Eh, Pale nnapo kusikia (Shulala Shula)
Shula wangu (Shulalala shula)
(Mavin)
[Korede Bello]
Wololo lolo yeah, Korede Bello
Want you to know that I'll will be there (I'll will be there)
Girl I will be there till the end o!
So, don't let baby
Don't let nobody come interfere (come interfere)
Let them say what they want to say, sando
Shuba bochu beyanju (yelele)
Kuumanyeu (yelele)
Kojubarobuu baamaje koyau (yelele)
Girl I promise you forever (ever)
Never leave you never (ever)
Anywhere you go I'll go (I'll goooo)
Pale napomuona-aa Eh! (Shulalalaa shula)
Jamini moyo wangu (Shalala-la-la Shula)
Pale ninapo musikia (Shulala Shula)
Yarabi moyo wangu (Shulala-laa shula)
Yarabi moyo!
Aaah!
Unizalie ka-cute ka-cute Katifah Dagote
Nikuvalishe na misuit misuit, upendeze tutoke
Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
Tulisakate uzuki ma uzuki na wavimbe wapasuke
Wewe hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina
Wanivumilia, na kuamini nitapata
Tafadhali nilindie roho yangu cha kukupa sinaa
Tena nakuapia haki ya Mungu sitakuacha
Na kama ukinipenda sana
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawe
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa na wewe
Nitaringa baby ooh
(Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
(Wasafi Records)
Oooh yeah (ringa ringa eeh)
Nitaringa ringa eeh ringa ringa eeh
Aah aah me na wee
Eeh nitaringa ringa eeh
Heheh, Harmo Love!
- Artist:Harmonize