Sikupendi lyrics

Songs   2024-07-07 05:38:18

Sikupendi lyrics

Wasafi!

Sikupendi (hmmmm)

Sikupendi (aaaahh)

Sikupendi (eeeehh)

Sikupendi (Max Maixer)

Sikupendi

Kichwa wanipasua, unanichapa fimbo

Moyoni napata tabu

Unajishaua unamalingo

Kama una sura ya Dhahabu

Ni miaka sasa nakufata

Ndala zangu zote umekata

Kutoka tegeta hadi tabata

Mpaka visigino vimechacha

Mara nasikia kuna bakari kinyozi

Ulishampa Hadi kaka yake Rose

Kwani we ni pilipili unitoe machozi

Nikikufata waniletea mapozi

Mapenzi uvumilivu unajua

Ila kwako numeshidwa

Upendo sasa majivu umeungua

Basi mama we ndo Bima

Oooh mamy looh (sikupendi)

Utanitoa roho (sikupendi)

Kila siku jibu lako no (sikupendi)

Sikutamani ng’o (sikupendi)

Naonyesha dhahili (sikupendi)

Sikutamani tena (sikupendi)

Nimeghaili (sikupendi)

Na kwen siji tena (sikupendi)

Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu

Kila mambo nikiset

Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu

Kila siku kwenye geti

Nilikufata mpaka kigogo

Kwenye shughuri yake mama Asha Modo

Ukanitukana matusi nina shobo

Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo

Akanitimba migumi kede kede

Nikawa mjinga tena bwege bwege

Kama nimetinga pombe bege bege

Alinishinda nikawa lege lege

Heee eeeh

Nakata tamaa kuwa nawe

Nikirudisha kumbukumbu

Nilipo kuona na masawe

Kwenye guest ya manungu

Ulifanya nipagawe

Kwa mawazo na uchungu

Nilikesha nje oh mama wee

Nikawa chakula cha mbu

Mapenzi uvumilivu unajua

Ila kwako numeshidwa

Upendo sasa majivu umeungua

Basi mama we ndo Bima

Oooh mamy looh (sikupendi)

Utanitoa roho (sikupendi)

Kila siku jibu lako no (sikupendi)

Sikutamani ng’o (sikupendi)

Naonyesha dhahili (sikupendi)

Sikutamani tena (sikupendi)

Nimeghaili (sikupendi)

Na kwen siji tena (sikupendi)

Oooh mamy looh (sikupendi)

Utanitoa roho (sikupendi)

Kila siku jibu lako no (sikupendi)

Sikutamani ng’o (sikupendi)

Naonyesha dhahili (sikupendi)

Sikutamani tena (sikupendi)

Nimeghaili (sikupendi)

Na kwen siji tena (sikupendi)

Rayvanny more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English, English (Nigerian Pidgin), Other, Portuguese
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Rayvanny
Rayvanny Lyrics more
Rayvanny Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs