Siri lyrics

Songs   2024-07-07 06:14:04

Siri lyrics

Ayolizer!

Nimeanza safari ya penzi na wewe

Usiikatishe eeh

Mungu mwema baba

Mbali atufikishe eeh

Mi binadamu nakosea

Nikiteleza usiuzunike eeeh

Milele mwanadada

Nikifa unizike

Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu

Natamka niwewee

Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama

Mfariji pekee nikimwaga chozi langu

Mama ni weweee

Imenishinda siri kifuani mwangu aaah aaah

Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eeeh

Ukawajue na ndugu zangu mama aaah

Unipeleke nyumbani kwenu Bibi weweee

Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah

Siri ya nini (siri)

Nini maana yake oooh (siri)

Siri ya nini (siri)

Nini hasara zake (siri)

Siri oooh siri

Mapenzi ya siri iiii

Ooooh Mama lolooo

Ooooh Mama lolooo

Ooooh Mama lolooo

[Nikk wa Pili]

Eeh mama

Nipe utamu kabla ujatamka usingizi

Si come mpaka tukiamka ni series

Kakonko twende kamara kibirizi

Mapaja yake utamu michirizi

Michepuko imenuna imezila siri siri

Na wee ni kachumbali mayonnaise pili pili

Pili pili manga tunakilikili wanga

Kilimanjaro nyumbani kwetu kisimili mwanga

Si mama Nikk simama Wima

Siri ya mapenzi nikufikishe kwa kina

Umebeba beba, mkungu wa muleba

Uchungu kama kwao wakajifungue leba

Umebeba beba, mkungu wa muleba

Uchungu kama kwao wakajifungue leba

Ooooh Mama lolooo

Mama lolo kwako sijiwezi

Ooooh Mama lolooo

Sitoficha mdudu mapenzi

Ooooh Mama lolooo

Mama lolo kwako sijiwezi

Ooooh Mama lolooo

Mama loloooooo oooh ooh

Kwenye kamoyo mi sina (siri)

Je nikutaje ka jina (siri)

Wajue wenye fitina (siri)

Jembe nipo nalima (siri)

Basi nawe usifiche maa (siri)

Sema watupishe naa (siri)

Vichefuchefu watapishe naaa

Penzi letu lisiishe m mi na wewee

(Wasafi!)

Owe owe oweoooo owe owe owaa

Owe owe oweoooo owe owe owaa...

Siri yanini

Nini maaana yake

Siri ya niiini

Nini hasara zake

Wasafi Records!

Rayvanny more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English, English (Nigerian Pidgin), Other, Portuguese
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Rayvanny
Rayvanny Lyrics more
Rayvanny Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs