Tanzania, National Anthem of - Mungu ibariki Afrika [Tongan translation]
Songs
2024-12-27 04:45:47
Tanzania, National Anthem of - Mungu ibariki Afrika [Tongan translation]
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Ibariki Afrika, Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Ibariki Tanzania, Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.