Tanzania Ya Sasa lyrics

Songs   2024-12-27 03:01:57

Tanzania Ya Sasa lyrics

(Ayolizer)

We mama njoo

Njoo uone nchi ilivyobadilika

Tanzania ya leo

Imejengwa imejengeka

Vitaa uhungo tazara

Za juu barabara tayari zinatumika

Reli yenye fiwa govora

Standard Gauge karibu inakamilika

Tanzania ya sasa mama, hai mama

Ya Maghufuli mama, hai mama

Inawaka waka mama, hai mama

Inapendeza sana, hai mama

Tanzania ya sasa mama, hai mama

Ya CCM mama, hai mama

Inawaka waka mama, hai mama

Inapendeza sana

Nasema jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Nasema wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Jamani jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Wabaki wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Wazee watoto, wanawake hospitali bure

Bure Magufuli huyoo

Elimu ya msingi pamoja na sekondari bure

Bure Magufuli huyoo

CCM hai, hai, hai, hai

Magufuli hai, hai, hai, hai

Wapinzani wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Doctor Sheni hai, hai, hai

Mama Samia hai, hai hai, hai

Wapinzani wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Majaliwa hai, hai, hai hai

Nabashiru hai, hai, hai hai

Wapinzani wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Tanzania ya sasa mama, hai mama

Ya Maghufuli mama, hai mama

Inawaka waka mama, hai mama

Inapendeza sana, hai mama

Tanzania ya sasa mama, hai mama

Ya CCM mama, hai mama

Inawaka waka mama, hai mama

Inapendeza sana

Nasema jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Nasema wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Jamani jua lile literemke mama

Jua lile literemke mama

Wabaki wapinzani watetereke sana

Wapinzani watetereke sana

Mzee Mangula hai, hai, hai hai

Paul Pole hai, hai, hai hai

Wabunge wote hai, hai, hai hai

Kamati kuu hai, hai, hai hai

Wajumbe wa nurse hhai, hai, hai hai

Wenye viti wa mitaa hai, hai, hai hai

Wenye vituo vitongoji hai, hai, hai hai

Mabalozi hai, hai, hai hai

CCM hai, hai, hai, hai

Magufuli hai, hai, hai, hai

Wapinzani wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa

Zuchu more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:https://www.instagram.com/officialzuchu/
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Zuchu?wprov=sfti1
Zuchu Lyrics more
Zuchu Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs