Tell Me lyrics

Songs   2025-01-07 12:58:28

Tell Me lyrics

Yeah (ok!)

Shawty, Let me talk to ya

(S2Kizzy baby!)

[Joh Makini]

Ehh nisipo kula na wewe ungwanja

saa ntakula na nani sinaga uwo ujanja kwako

Ninjengo sote na kibanda

Awali side chicks wote walishasanda kwako

Kula ndizi bila maganda

Muhanga mi nishajitoa kitambo sikazi kwako

Kwa mungu na si kwa mganga

Njoo tupige goti baraka zimetaanda hapo

Nsipokupenda wewe ntampenda nani (hmm)

Leo kazi sina nina kazi nyumbani (yeah eeeh)

Ntapika ulee wangu wa ndani (hmm)

Na ndoto yangu uyatoe ya ndani mama (ooo woa)

Twende jambiani au twende

Serengeti mbugani ooh baby

Lushoto milimani

Usijali kwani pesa kitu ganii

Twende jambiani au twende

Serengeti mbugani ooh baby

Lushoto milimani

Usijali kwani pesa kitu ganii

Tell me something

Tell me something

Tell me something

Tell me something, baby

Naacha mambo yote maana najiskia mfalme njinii

Unanipa vitu vingi hata sijui nikupe ninii

Tuna mali tuna Mungu napia tuna nia

Tuna ishi ndoto zetuu wakitushuhudiaa

Na unanifaaa, moyoni umenikakaa kama nini

Pale na jikwaaa, mauni achii niende chini oooh woa

Twende jambiani au twende

Serengeti mbugani ooh baby

Lushoto milimani

Usijali kwani pesa Kitu ganii

Twende jambiani au twende

Serengeti mbugani ooh baby

Lushoto milimani

Usijali kwani pesa kitu ganii

Tell me something

(Niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu)

Tell me something

(Niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu)

Tell me something baby

Twende, twende, twende…

  • Artist:Jux
  • Album:The Love Album (2019)
Jux more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:https://www.facebook.com/africanboyJUX/
  • Wiki:
Jux Lyrics more
Jux Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs