Tetema lyrics

Songs   2024-12-27 03:54:29

Tetema lyrics

[Intro: Rayvanny]

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Shuka chini tetema (oh, mama tetema!)

[Verse 1: Rayvanny]

Tetema! Yani kama umepigwa shoti

Tetema! Nipe migandisho ya roboti

Tetema! Ukutani hadi kwenye kochi

Tetema! Kwenye giza mama shika tochi

Katoto kamenoga (oh mama)

Kukapa ndizi za Bukoba (oh mama)

Nakapandisha boda boda (oh mama)

Kakichoka kuchuma mboga (oh mama)

Aii mama shigidi, ah

Nakufa hoi wikidi, ah

Aii mama shigidi konki

Fire, moto, liquid

[Chorus: Rayvanny]

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Shuka chini tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Shuka chini tetema (oh, mama tetema!)

[Verse 2: Dimond Platnumz]

Tetema! Yani kama vile generator

Tetema! Kama mwizi kakupiga ngeta

Tetema! Mwendo wa kutwanga kupepeta

Tetema! Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wozza doza cheza shogoloza

Kufa chali kama mende

Maria Roza doza tungi limekoza

Twende nikupige nyembe

Mbbrrook!

You make my mind go kolo, kolooo, kolooo

Ukinuna tu mie doro, doroooo, doroooo (washa)

Sa nipe za digi digi (washa)

Miuno ya Gigy Gigy (washa)

Funga kibindo mkwiji, mkwiji (washa)

Nikunyonge ka zigi zigi

Teeete.....

[Chorus: Rayvanny]

Oh, mama tetema!

Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Shuka chini tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema!)

Aya twende tetema (oh, mama tetema!)

Shuka chini tetema (oh, mama tetema!)

[Outro: Rayvanny & Diamond Platnumz]

Ayo Lizer.....(chiii)

Kichaa kime, kime, kimempanda

Amewehuka (kime-kimempanda)

Kapandisha mizuka (kime-kimempanda)

Anaruka ruka (kime-kimempanda, mamaaa)

Kichaa kime, kime, kimempanda

Kapanda juu ya meza (kime-kimempanda)

Eti anavua shati (kime-kimempanda)

Kalewa anacheza (kime-kimempanda)

Yani varangati

Rayvanny more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English, English (Nigerian Pidgin), Other, Portuguese
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Rayvanny
Rayvanny Lyrics more
Rayvanny Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs