Uko Salama lyrics

Songs   2024-07-04 15:54:58

Uko Salama lyrics

Noo no, noo no no

No, no

Sitaki ulie sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Salama eeh, uko salama eeh

Sitaki ulie sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Salama eeh, uko salama eeh

Ya nini nijichoshe mwili

Wakati sijapenda

Si bora tu ntulize akili

Mahala nilikopenda

Hata tai huruka wawili

Sababu wamependana

Si bora tu nitulize akili

Ya nini kufosiana

Love is furaha

You are my furaha, nakupenda

Love is furaha

You are my furaha, nakuzimia

Yaongeze mahaba

Kisha nikupende mara saba

Salama, uko salama

Nishajifunza kuwa nakaba

Siri za ndani usijetangaza

Salama, uko salama baby

Sitaki ulie sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Uko salama, uko salama baby

Sitaki ulie sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Uko salama, uko salama eeh

Chunga penzi usiliweke nyufa

Ukaziba ukuta, penzi likaanguka

Penzi tamu kuzidi asali nani anakataa

Kisha jaribu ndo utajua umbali wa unapotaka

Baby niwashie taa

Niko kwenye giza na we ndo mwanga

Ndo mwanga, ndo mwanga

Ndo mwanga eeeh

Huko nyuma nishasuffer

Nishajaribu mpaka vichaa

Washaniumiza, niumiza eeeh

Yaongeze mahaba

Kisha nikupende mara saba

Salama, uko salama

Nishajifunza kuwa nakaba

Siri za ndani usijetangaza

Salama, uko salama baby

Sitaki ulie sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Uko salama, uko salama baby

Sitaki ulie sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Uko salama, uko salama eeh

Furaha yangu ni kukuona unatabasamu

Hata kama siku utanipochoka mikononi

Haijalishi kwa maana nakupenda

Hisia zangu haziko wazi

Na wala hazijifichi mbele zako machoi

Si unaona eeeh

Ukiniita natabasamu

Ukinigusa tu napata goosebumps

Hahaha, ningepewa jina nikuchagulie ningekuita waridi

Bali na kuwa nawe tunalala kitanda kimoja na jinsi sifaidi

Natamani kumkaidi bosi niachane na kazi

Nijipe likizo nisichoke kabisa

Niweze kustarehe na wewe

Hata pumzi itakaponizimia niwe

Basi uwe wa mwisho maisha

Nawaza lini Mungu atanichukua

Je kifo changu kitakuwa mwisho na wewe?

Naomba iwe hivyo maana sitaweza bila wewe

Iwe duniani, mbinguni ahera

Maana kwangu una dhamani zaidi ya hela

Leo, kesho na mtondo goo, I love you!

Sababu yangu

Wewe si ndo pepo yangu

Salama salama salama

  • Artist:Barnaba
  • Album:Mapenzi Kitabu (EP) (2020)
Barnaba more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Barnaba Lyrics more
Barnaba Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs