Unavyonipenda lyrics
Unavyonipenda lyrics
Ningekuwa sipo kitambo, aaah eeh
Yalivyonilemea mambo, aah
Ningekuwa sipo kitambo
Yesu umenihurumia, aah
Ningekuwa sipo kitambo, aaah eeh
Hii dunia imejawa mambo, aah
Ningekuwa sipo kitambo
Ila umenizungukia
Unavyonipenda aah
Unavyonipenda aah
Unavyonipenda aah
Unavyonipenda
Kama binadamu
Nimejawa madhaifu
Lakini upendo wako Yesu
Umeshinda dhambi nguvu
Mimi ni nani?
Umenipenda kwanini?
Baraka zako siamini
Zimenifuata mimi
Na ingekuwa we ni binadamu
Na marefu yangu
Singekuwa mtu leo
(Unavyonipenda)
Na ingekuwa we ni binadamu
Na marefu yangu
Singekuwa mtu leo
(Unavyonipenda)
(Yesu wangu wewe)
Unavyonipenda aah
(Unavyonipenda)
Unavyonipenda aah
(Unavyonipenda)
Producer Paulo
Ooh, aah
Yesu wangu
Shukrani zangu ooh
Pokea zangu, yo yo yo
Unavyonipenda aah
(Unavyonipenda)
Yesu wangu, unavyonipenda aah
(Unavyonipenda)
Yesu wangu...
- Artist:Bahati