Wanaweweseka lyrics

Songs   2024-07-07 05:55:20

Wanaweweseka lyrics

Wanaweweseka

Wanaweweseka

Wenyu uwivu wasijinyonge

Ila wapigwe shoti wafee

Kingasti wangu yuko hapa

Usinishike bega niache

Nakupa yote mumunya

Tamu wa pipi mate

Baby kwa mapenzi huko chuo

Hauko tena Kindergarten

Marashi yake ma,

Amechanganya na tangau

Mtoto kama Saida Karoli

Anavyo chambua karanga

Na simuwachi nampenda

Ya pete mi chanda

L-O-V-E (I love you)

Kama kasimu muganga

Pressure inapanda, pressure inashuka

Wanaovimba watapasuka

Niki kuposti namba insta pata chafuka

Watatamani kuhack waje kufuta

Ooh lelele

Wanaweweseka

Nimekupa bundle watuperuzi

Wanaweweseka

Mama nipe mambo tuwauthii

Wanaweweseka

Basi cheka cheka uki deka deka mami

Wanaweweseka

Baby eeh, tausi maingona

Teke eeh umbo kifusi, nyuma kishinoni

Nikubebe eeh na wenye chuki wakate shingoni

Sitakilete eeh kina bunduki, na wanandalido

Udongo gani, unaokufinyanga mali weh

Mganga gani alopiga manyanga mali weh

Majungu simutachi ayaya, maneno sio radi ayaya

Jasho lina watoka maji (I love you daddy)

Marashi yake ma,

Amechanganya na tangau

Mtoto kama Saida Karoli

Anavyo chambua karanga

Na simuwachi nampenda

Ya pete mi chanda

L-O-V-E (I love you)

Kama kasimu muganga

Pressure inapanda, pressure inashuka

Wanaovimba watapasuka

Niki kuposti namba insta pata chafuka

Watatamani kuhack waje kufuta

Ooh lelele

Wanaweweseka

Nimekupa bundle watuperuzi

Wanaweweseka

Mama nipe mambo tuwauthii

Wanaweweseka

Basi cheka cheka uki deka deka mami

Wanaweweseka

Rayvanny more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English, English (Nigerian Pidgin), Other, Portuguese
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Rayvanny
Rayvanny Lyrics more
Rayvanny Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs