We Endelea Tu lyrics

  2024-09-19 14:29:19

We Endelea Tu lyrics

Kwa Mungu hakuna majungu, mi nina Mungu

We endelea tu (aaah, aah)

We endelea tu

Kwa Mungu hakuna majungu, mi nina Mungu

We endelea tu (aaah, aah)

We endelea tu

As you can see am ghetto and fabulous

Hella zinafanya dunia inazunguka, let me handle this

Sihitaji beats kutingisha kichwa chako

Naflow tu kama nina beats za moyo wako

Wakikuuliza naendelea aje waambie vizuri zaidi ya jana

Vizuri zaidi ya wao, Mungu ana manguvu sana

Miluzi mingi na kubwa la mbwa sipotei

Mipango ya miaka chungu nzima na dira hunitoi

Yeah naitika nikijisikia, maisha usiyavalie kikoi

Na sio lazima yakubali, kwani una yadai

Subira haivuti bangi, haigongi nyagi

Inavuta heri tu na haijawahi kubugi

Kilienda kwa mganga na ka unavyoona kimerudi

Hata kama hukipendi kukiheshimu inakubidi

Mbuyu ulianza ka mchicha ila mcha haujawahi kuwa mbuyu

Sikiza walofanikiwa, ongeza zako mbayu wayu

Anayejifanya anakwamua, anakushika upigwe babu

Mtia mitama, siku nyingine hashiki adabu

Kama message sipendi, boss namshoot mpaka messenger

(Boss namshoot mpaka messenger)

Kwa Mungu hakuna majungu, mi nina Mungu

We endelea tu (aaah, aah)

We endelea tu

Kwa Mungu hakuna majungu, mi nina Mungu

We endelea tu (aaah, aah)

We endelea tu

Kiko ntawa, kishuwa uki mtaa

Nikucheza na namba namba ka mtu mbaya Salah

Kiko ntawa, kishuwa uki mtaa

Nikucheza na namba namba ka mtu mbaya Salah

Tafta hela za kutosha ila usipige nazo picha

Maisha yanabadilika, kausha nitakufundisha

Pozi za kigoloko lazima zitakufelisha

Amua mwenyewe, utazika utasafirisha?

Hakuna kukupigia ngoma kukuambia kuwa umekua

Miyeyusho majukumu, utakuja tukuombe dua

Utaamka tu unajua kuwa wachawi pia wanafiwa

Hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa

Huh, ukiwa mkubwa utataka kuwa kama mimi

Shati navaa la jana ila gari nimebadili

Heshima yako ilienda wapi? Heshimu pesa baada ya dini

Kwenu hakuna wakubwa wangekuwepo ungeniamini

Mwanga siti mtoto amlee, kwanza namkausha kizazi

Kata sehemu za siri, zitupe mto Zimbazi

Mi sio mgeni hapa, najua miili inapozikwa

Na kitabu hapa najua nini kimeandikwa

Ni rehema za Mungu tu na maamuzi yake tu

Kashamuua, alicho amua si ni wake tu

Kisasi ya kita nitibu hela na we utakuwa umeumia

So hata nisipo kwambia, hivi ndo navyo jiskia

We endelea tu (aaah, aah)

We endelea tu (aaah, aah)

(Aaah, aah)

We endelea tu

We endelea tu

MwanaFA more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:Hip-Hop/Rap
  • Official site:
  • Wiki:
MwanaFA Lyrics more
MwanaFA Featuring Lyrics more
Excellent recommendation
Popular