Wovoka [Swahili translation]

Songs   2024-12-02 15:08:53

Wovoka [Swahili translation]

Wakati wa mwezi wa vijani vimevyoanguka

Alionyeshwa siku moja

Alikuwa ametoka nchi ya roho

Na kiandiko cha unabii

Mafuriko itakuja kwa kukulinda

Majira ya machipuko ijayo nyakati nzuri zinakuja

Kutoka ziwa la piramidi (Wovoka)

Alisikiwa kusema

Kila mtu lazima acheze ngoma

Cheze zaidi, cheze zaidi

Kila mtu lazima aimbe

Imbe zaidi, imbe zaidi kwa muda nzuri zije

Pombe, Ricky, Pombe Ricky

Pombe, Pombe, Pombe

Siku ya tatu moto uliwashwa

Roho alikuja chini (Wovoka)

Alisema "ishi tena"

Kutoka kohoa ya farasi wa chuma waliona (Wovoka)

Cheze ngoma pamoja na mzuka peke yake

Kila mtu lazima acheze ngoma

Cheze zaidi, cheze zaidi

Kila mtu lazima aimbe

Imbe zaidi, imbe zaidi kwa muda nzuri zije

Pombe, Ricky, Pombe Ricky

Pombe, Pombe, Pombe

Nguvu yake ni hadithi na masomo yake ni kweli (Wovoka)

Njia nyekundu inaonewa

Urembo wa hekima yake ni wimbo wa Wahindi (Wovoka)

Nabii alisema

Kila mtu lazima acheze ngoma

Cheze zaidi, cheze zaidi

Kila mtu lazima aimbe

Imbe zaidi, imbe zaidi kwa muda nzuri zije

Kila mtu lazima acheze ngoma

Cheze zaidi, cheze zaidi

Kila mtu lazima aimbe

Imbe zaidi, imbe zaidi kwa muda nzuri zije

Kila mtu lazima acheze ngoma

Cheze zaidi, cheze zaidi

Kila mtu lazima aimbe

Imbe zaidi, imbe zaidi kwa muda nzuri zije

Redbone more
  • country:United States
  • Languages:English
  • Genre:Rock
  • Official site:http://en.wikipedia.org/wiki/Redbone_%28band%29
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Wovoka
Redbone Lyrics more
Redbone Also Performed Pyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Artists
Songs