You're Still the One [Swahili translation]
Songs
2025-01-06 00:38:42
You're Still the One [Swahili translation]
Nilipokua Mara ya kwanzaniliona penzi
Mara ya kwanza kuniguza nilihisi penzi baada ya huu muda wote bado no wewe nimpendaye in kama tulifaulu ona umbali tumetoka mpenzi wangu tuneza kuwa tulichukua mwendo refu tulijua tutafika siku moja walisema wanatabiri hatutafaulu lakini ona bado tunashikilia tungali pamoja wenye afya
Bado ni wewe tu
Bado in wewe nakimbilia
Yule mwenye Mimi
Yule nimtakaye maishani bado ni wewe tu
Ungali yule nimpendaye
Yule wa peke ninaye ota
Yule ninaye mbusu usiku mwanana
Hakuna kizuri tunapiga odds pamoja nafurahi hatukusikiza ona yale tungekosa walisema wanatabiri hututafaulu ona bado tunashikilia
Tungali pamoja wenye afya
Bado ni wewe tu yule ninaye kimbilia
Nina furaha tumefaulu ona umbali tumetoka
- Artist:Shania Twain
- Album:Come On Over (1997)