Take Care [Swahili translation]
Songs
2026-01-20 22:58:20
Take Care [Swahili translation]
Mlinde unayempenda,
Mlinde unayemuhitaji
mlinde anayekuhitaji zaidi,
mlinde unayempenda.
Mlinde unayempenda,
Mlinde unayemuhitaji
mlinde anayekuhitaji zaidi,
mlinde unayempenda.
Mlinde unayempenda,
Mlinde unayemuhitaji,
Mlinde anayekuhitaji zaidi,
Aliye mbali toka nyumbani, anayeijaza nafsi yako.
Mlinde anayeshika mkono wako,
Wakati wa baridi.
- Artist:Imany
- Album:The Shape of a Broken Heart