Bwana Mungu Nakuomba Sasa lyrics
Songs
2026-01-16 16:41:04
Bwana Mungu Nakuomba Sasa lyrics
Bwana mungu nakuomba sasa, unifanye kuwa kama upendavyo.
Maana wewe ni muweza wa yote ,
Unifanye kuwa kama upendavyo.
Nifinyange' nifinyange
Unifanye kuwa kama upendavyo.
Niongo-ze, niongoze
Unifanye kuwa kama upendavyo.
Nibariki, nibariki
Unifanye kuwa kama upendavyo.
- Artist:Swahili Worship Songs